Habari Mpya :

Habari mpya

'SAFARI YA MATUMAINI'LOWASA ATANGAZA NIA RASMI YA KUGOMBEA URAIS JANA ARUSHA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, May 31, 2015 | 2:09 AM

Waziri mkuu wa zamani mh:Edward Lowasa jana majira ya mchana ametanganga nia yake Rasmi ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi utakao fanyika nchin Tanzania mnamo mwezi wa kumi mwaka huu 2015.Akiwa na dhamira iyo kubwa Lowasa alipokewa na kundi kubwa la watu jana katika kiwanja cha mpira mkoan Arusha,wakiwemo wanachama wenzake wa CCM na wale wa vyama tofauti pamoja na wananchi wa kawaida au wapiga kura.Akiwa na kauri mbiu ya SAFARI YA MATUMAINI Mh edward lowasa aliwezaa kutoa dhamira zake mbalimbali uku akiombaa kura toka kwa wananchi.Moja kati ya dhamira zake ni pamoja na kudhamiria kumaliza wimbi la umaskin pamoja na kuboresha Elimu.

       LOWASA AKITANGAZA NIA YAKE KWA               WANANCHI WA ARUSHA.

LOWASA AKIWAAGA WANANCHI
BAADA YA KUTANGAZA NIA.

(SINGIDA)FISI AKAMATWA MCHANA MCHANA KWEUPE SOKON SINGIDA.

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, October 24, 2014 | 2:36 PM

Ni tukio la ajabu kuwahi tokea hapa mkoani singida  leo majira ya alaasiri fisi amekutwa maeneo ya sokon akiwa amejifichaa.Kitendo cha fisi kuonekana fisi uyoo kimeleta tafrani hapa mkoani hasa wengi wakimuusisha na maswala ya ushirikina.Polisi wamemuhai fisi uyo kabla wananchi hawajamzuru zaid na kumpeleka ofisi za mali asili..

KILI MUSIC TOUR NDANI YA DODOMA LEO (ZUNGUSHAKIKWETUKWETU)

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, August 16, 2014 | 4:20 PM

Hivyi ndo umati wa watu ulivyojitokeza leo katika kushuhudia shangwe za kili music tour ndani ya viwanja vya jamuhuri dodoma.Picha inaonyesha pande nne za viwanja vya jamuhuri na jinsi watu walivyomiminikaa katika burudani ambayo imeongozana na wasanii mahiri tanzania wa muzik wa Bongo flava kama mdada shilole, weusi, ben pol, izo business n.k na taarabu malkia wa mipasho khadija kopa.Burudani hizi zinatembezwa katika mikoa tofauti kwa udhamin mkubwa wa Kampuni ya bia Tanzania Kilimanjaro.

HII NI KUTOKA (CAREUSA care.org) VITA DHIDI YA NDOA KWA WATOTO WADOGO WA KIKE

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, July 23, 2014 | 6:01 AM

Mtandao wa CAREUSA au care.Org wanaharakati wanaopinga manyanyaso ya kijinsia na kusaidia jamii zinazoishi katika mazingira magumu.Care wamelaani vikali vitendo vinavyofanyika katika jamii ya watu wa Ethiopia ambapo watoto wadogo wa kike wanaolewa katika umri mdogo jambo ambalo wameeleza ni jambo la kikatiri ambalo linamdidimiza mtoto wa kike na kumnyina haki zake za msingi kama elimu, vile vile wameeleza kwamba vitendo ivyo vinachangia ongezeko la umaskini katika taifa lolote lile. Picha chini ni binti mwenye umri wa miaka 10 ambae amepigwa picha akiwa na mumewe mwenye miaka 22.

☆MAMBA AANGUSHA NDEGE UKO CONGO DRC✯

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, July 13, 2014 | 3:44 AM

Imerepotiwa na jarida nchini Congo kwamba ndege ya shirika la. Ndege ya kukodi nchin umo iliyokuwa imebebaa abilia 16 apo juzi imedondoka na kusababisha vifo via watu 18 baada ya mamba aliyekuwa kawekwa katika hifadhi ya mizigo akiwa katika begi la michezo. Taarifa zaid zimeeleza kwamba mamba uyoo aliweza kutoka katika begi ilo na kutambaa kuelekeaa sehemu ya abilia kitendo kilichosabisha abili kuanza kukimbia ovyoo na kusababisha ndege kukosaa balance ya uzito wa upande abilia walipokuwa wanakimbilia kisha kuanguka na kusababisha vifo ivyoo via watu 18.

(BONGO MOVIE)MTAYARISHAJI WA FILAMU TANZANIA ADAM KUAMBIANA AFARIKI DUNIA LEO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, May 17, 2014 | 3:27 AM

Pigo lingine katika tasnia ya filamu Tanzania.Tasnia ya filamu nchin tanzania imempoteza mtayarishaji wa filamu Adamu kuambiana ambae amefariki dunia leo akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari.Adamu amefariki njiani akiwa anapelekwa hospital kwa ajili ya matibabu.Mungu ilaze Roho yake mahali pema ameen.

HUYU NDO OPRAH WINFREY WA MWAKA 2014 NA UTAJIRI WAKE AKIWA NA MIAKA 60

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, April 18, 2014 | 7:19 AM


Oprah Winfrey                         

  • Net Worth
  • $2.9 Billion
  • $0 | 0%
  • As of 4/18/2014 @ 10:10AM *
  • Entrepreneur, Personality
Age
60
Source Of Wealth
television, Self Made
Residence
Montecito, CA
Citizenship
United States
Marital Status
Single
Education
Bachelor of Arts / Science, Tennessee State Universit

NEWS

Other related Articles »

SCANDAL

Other related Articles »

TvSHOW/INTERVIEW

Other related Articles »

MUSIC

Other related Articles »

VIDEOS

Other related Articles »

COMEDS

Other related Articles »

LOVESTORY

Other related Articles »

SPORTS

Other Related Articles »

FASHION

Other Related Articles »
 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania