Habari Mpya :
Home » » DRAMA:EAST AFRICA/TANZANIA STARS WEMA & DIAMOND WHEN WILL YOU STOP DRAMAZ

DRAMA:EAST AFRICA/TANZANIA STARS WEMA & DIAMOND WHEN WILL YOU STOP DRAMAZ

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, April 22, 2013 | 9:38 AM


AS FAR AS TANZANIA SOCIETY IS CONCERN:....NI SIKU CHACHE BAADA YA MSANII
KUVUJISHA  SOUND RECORD YA  SIMU ALIYOPIGA WEMA KUTAKA KURUDISHA PENZI
LAKE KWA PLATNUM...APO CHINI NI DRAMA LIFE FROM WEMA Vs DIAMOND
NA SASA NI PENNY Vs DIAMOND....SOMA KWA CHINI DRAMA ON TOP DRAMA
NA KWA WALE WAPENDA KUSIKILIZA DRAMA SIKILIZA YOU HEARD YA SOUD WA CLOUDS FM CLIP YA WEMA NA DIAMOND APO KWA CHINI,,,



                                  ENZI IZO WEMA NA BABA LA BABA DIAMOND


                  NEW LIFE PENNY NA BABA LA BABA PLATNUM

TAARIFA KAMILI ILIKUWA HIVYI:

DIAMOND:Mini sikufanyii Drama yoyote, am in love with Penny na wewe unajua hivyo.

WEMA:Yeah; you are in love with Penny and I..

DIAMOND:Sipendezwi kufanya ivyo kwa sababu mwisho wa siku itakuja kuleta matatizo,Drama sitakia
                    wewe kitu kidogo Drama utataka mji mzima ujue

PENNY AKACHUKUA SIMU:Hello,Hello

WEMA:Mmhh

PENNY: We want to sleep mamy,wacha tulalee

WEMA:Uko poa

PENNY:Niko poa can we sleep now?si hatutaki matatizo na wewe na wewe husiitake
              matatizo na sisi,just let us live one happpy life

WEMA:Amekwambia mimi naleta Trouble?you know me i dont want Trouble

PENNY:Yeah, but you always want to cause trouble Wema,when did you need something
                        Peacefull?when?when he(DIAMOND)says he is in love with me
                        i dont know, For some reason i want you to respect that because all you have done
                       is bringig trouble.Seriously and alll these things you do they tell us kwamba wewe
                       ndo unafanya...

mwisho wa maongezi wema akakata simu..............Go to U head by sooudy clouds fm wema/diamon clip

SOUDY:Badoo unampenda Diamond?

WEMA:Hapana siwezi kumpenda weweeee

SOUDY:Kumtamani?

WEMA:SIWEZII

SOUDY:Kwa nini?

WEMA:Sassa wa kazi gani mimi nimeishakuwa na Diamond its done,Haikwa riziki kaendelea
             na maisha yake na mimi  nimeendelea na yang.AM VERY HAPPY WHERE I AM NOW

Je unaamin lolote hapo au Twafanyiwa Drama?

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania