Wema Sepetu anaonekana kuumizwa sana na kitendo cha Diamond kumrekodi wakati anajitongozesha kwake usiku alipokuwa na mpenzi wake Penny….
Walipomrekodi, waliisambaza clip hiyo mitandaoni na katika vituo kadhaa vya redio….
.
Hii ni fedheha ambayo nadhani Wema Sepetu hataisahau maishani mwake
No comments:
Post a Comment