Msanii Nguli toka marekani Snoop lion zamani akijulikana kama Snoop Doggy amefamya show kali mjin Darban akiwa na msanii mahili barani Afrika kutoka nigeria D'banji..Snoop Lion yasemekana alipokelewaa na Nyimbo za kikwazulu.Akizungumza mwenyewe Snoop Lion alisema "Nafurahi kurudi Africa maana ndo asili yangu na kufanya show na msanii mkali wa Afrika...
Home »
» SOUTHAFRICA:SNOOP LION AFANYA SHOW KALI NA DBANJI
No comments:
Post a Comment