Toka Katika ukumbi maarufu Jijin Dar es salaam Dar Live mbagara usiku wa kuazmkia leo
wakali wawili katika miondoka ya kizazi kipya DIAMOND PLATNUMZ na mwenzie Ney wa Mitego wamefanya kufuru katika uzinduzi wa Video ya kibao chao Kipya kinachotamba kwa sasa
nchini Tanzania MUZIKI GANI..
Inasemekana kwamba watanzania waliupokea vizuri sana uzinduzi wa VIDEO iyo tunayotarajia
kuiona karibun.Kelele za mashabiki ndo zilizokuwa nyingi hasa baada ya wakali hao kuanza
kuimba nyimbo iyo waliyoshirikiana Nyema ya MUZIKI GANI....
No comments:
Post a Comment