Taarifa kamili iliyopatikana ni kwamba majangiri hao wafanya biashara haramu ya pembe za
ndovu waliwauwa tembo hao waliokuwa wamejikusanya kwa pamoja katika kundi moja.
Mratibu mmoja wa haki za wanyama ameonyesha hofu yake juu ya uwepo wa Tembo
katika Hifadhi ya Dzanga-Ndoki national park.Mkuu wa hifadhi iyo pia ameonyesha masikitiko
yake juu vifo ivyo vya hao Tembo..
No comments:
Post a Comment