Hii ni baada ya baada ya malalamiko aliyoyatoa na Mkuu wa majeshi wa Uganda kwamba
Rais Yower Mseven anampango wa kutaka kumkabiidhi Urais mwanae ambaye pia ni mwanajeshi
kwa jina na cheo cha Brigadier Muhoozi Kainerugaba..Mkuu uyo wa majeshi aliongeza akisema
kwamba ikiwa kama Uganda ni ichi ya Democrasia basi lazima democrasia ifwate kumpata Rais.
Akikanusha shutuma izo msemaji mkuu wa serikali ya Uganda amekanusha kwamba si kweli Rais
Yower Mseven anambinu iyoo ambayo yaweza kuchoochea Vita na vurugu Nchin hapo..
No comments:
Post a Comment