
Rais wa zamani wa afrika ya kusini bwana Thabo Mbeki amevieleza vyombo vya habari kwamba joho la madaktariwamesema afya ya mandela imeanza kurudi katika hali ya kawaida japo bado yukokitandani ila kazi nzuri ya kunusuru maisha yake imefanyika.Akieleza Mbeki amesema mandela ambae mpaka jumapili alikuwa kafikisha siku 37 tangu alazwe hospitali ya Medclinic mjini pretoria tangu tarehe 8 june 2013 akisumbuliwa na matatizo ya upumuaji katika mapafu ivyi sasa afya yake imeanza kuwa sawa na kwamba yuko salama japo bado yuko kitandani na muda si mrefu anaweza ruhusiwa kurudi nyumbani kwake alisema THABO MBEKI.


No comments:
Post a Comment