Toka pretoria nje kidogo hospitali ya MEDCLINIC alipolazwa mkombozi wa ubaguzi wa rangi Nelson mandela watu walionekana katika mtazamao tafoauti baada ya kutangaziwa na rais jacob zuma kwamba afya ya kiogozi uyo wa zamani na mtetezi wa haki za waafrika ya kusini inatengemaa kila siku inavyosonga mbele japo bado yuko kitandani.Taarifa izo zimeibua furaha kubwa na vyimbo mbalimbali za kufurahia taarifa iyo ambayo kila mtu dunian anaifurahia kuisikia na kuzidi kumuombea kiongozi uyo aweze kuepukana nna mtihani huo wa maraaadhi unaomsumbua kwa sasa akiwa kalazwa zaid ya mwezi sasa katika hospital ya Medclinic heart hospital mjin pretoria.


No comments:
Post a Comment