Habari Mpya :
Home » , , , » ''KUWAKUMBATIA WAWEKEZAJI WAKIGENI NI SAWA NA KUUKUBALI UKOLONI''ASEMA MBUNGE PHILEMON NDESAMBURO

''KUWAKUMBATIA WAWEKEZAJI WAKIGENI NI SAWA NA KUUKUBALI UKOLONI''ASEMA MBUNGE PHILEMON NDESAMBURO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, November 25, 2013 | 10:46 AM

Mbunge wa Moshi mjini amekaririwa akisema Serikali inadhumuni la kuwapa kipaumbele wawekezaji wa nje katika ununuzi wa hisa za Oil na Gas na kutaka kuwaweka pemben wawekezaji wa ndani kwa kigezo kwamba hawana pesa za kununua hisa izo.Akieleza amesema sio kweli wawekezaji wa ndani hawana pesa au uwezo wao wa kifedha mdogo ila serikali inaangalia masirahi yake makubwa kupitia uwekezaji wa toka nje ya nchi.Mbunge Philemon alitoa tamko hili kwamva kutowapa wawekezaji wa ndani nafasi katika ununuzi wa oil na gas na kuwapa kipaumbele wawekezaji wa nje ni sawaa na kuukubali Ukoloni.Sidhani kama Mwenyekiti wa sector binafsi bwana Reginald Mengi na Mohamed DewJi na wengine hawana pesa alikaririwa akisema Mbunge Philemon Ndesamburo pia alisema ni lazima Madin na mali asili zote wapewe kwanza wawekezaji wa ndani wakishindwa kufika asilimia 100 basi ndo wagen wapewe nafasi..

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania