Leo Afrika na Dunia ikiwa imewekwa historia kubwa kwa viongozi wakubwa dunian wa nchi mbalimbali na viongozi wakubwa wa mashirika makubwa dunia pamoja na waombolezaji mbalimbali toka pande zote za dunia leo wamekutana katika uwanja wa FNB STADIUM jijin Johannesburg kwa ajili ya kumuaga mzee Nelson Mandela leo.Tukio ilo la kihistoria limeandamwa na sifa nyingi alizopewa Mzew mandela kama mtu wa muhimu ambae alijitoa kwa ajili ya watu wake na dunia nzima.Rais Barack Obama akiwa miongoni mwa wasemaji amesema"Dunia imepoteza mtu muhimu sana na sio virahisi kumpata mtu wa mfano wa Mandela".Mandela anatalajiwa kuzikwa kijijin kwake IQUNU jumapili ya tarehe 15 december 2013.Picha mbalimbali uwanjani hapo ndo hizi.
Home »
Events
,
News
,
Politics
» PICHA ZA TUKIO LA (MEMORIAL SERVICE)VIONGOZI NA WAOMBOLEZAJI WAKIMUAGA MZEE NELSON MANDELA LEO FNB STADIUM


No comments:
Post a Comment