Habari Mpya :
Home » , » HIKI NDO UFANYIKA SCOTLAND KILA MWISHO WA MWEZI JANUARY KATIKA KILA MWAKA

HIKI NDO UFANYIKA SCOTLAND KILA MWISHO WA MWEZI JANUARY KATIKA KILA MWAKA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, January 29, 2014 | 8:40 PM

Hizi ni sherehe za Kimira kila mwisho wa mwezi January ndani ya kila mwaka makundi ya watu ukusanyika katika kila mji ndani ya Nchi iyo na kufanya tukio la kuwasha myenge ya moto kisha ucheza kwa shangwe.Wakati wa tukio ilo kila kundi lazima liwe na kiongozi(Jarl)ambae uliongoza kundi lake(Jarl Squard)kuelekea ufukwe wa bahari ambako uchoma Boat kubwa (Viking longBoat) iliyotengenezwa maarumu kwa shughuli iyo.

Picha ni makundi ya watu waliobeba Myenge ya Moto kuelekea fukwe ya bahari  kwa ajili ya zoez 
Moja la kuchoma boat(Viking).Picha nyingine ni boat iyo kubwa ikichomwa moto kama ishara ya kukamilisha hatua ya mwisho wa sherehe izo za kimira ambazo zimefanyika juzi tarehe 28 january 2014.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania