Hiki ndo kinachoendelea katika ligi yenye msisimko mkubwa barani ulaya ligi ya uingereza.Apo jana katika matokeo ya mechi zilizochezwa Manchester ilijikuta ikilala na kipigo cha magoli Matatu dhidi wa wahasimu wao wakubwa Manchester City.Arsenal ilipata draw na swansea wakati newcastle ikiambulia kipigo cha goli tatu bila dhidi ya everton.
Home »
Events
,
News
,
SPORTS
» MSIMAMO WA LIGI YA UINGEREZA(BARCLAYS PL)MATOKEO YA MECHI ZA JANA NA MECHI ZITAZOCHEZA LEO
No comments:
Post a Comment