Mreno luis Figo ambae apo juzi alichezesha draw za kupanga team zitakazominyana katika hatua ya Robo fainal za Ligi ya Mabingwa ulaya(Uefa) Upande manchester matokeo ya draw iyo yamepokelewa kwa uzuni kubwa na mashabiki wa club iyo dunian kote baada ya kupangwa na mabingwa wa mwaka jana 2013 Bayern Munench katika Robo finali izo.
figo akichezesha draw ya Robo finali
No comments:
Post a Comment