Habari Mpya :
Home » , , » SHABIKI MWENYE MAPENZI YA KWELI NA MSANII DIAMOND UYU HAPA,

SHABIKI MWENYE MAPENZI YA KWELI NA MSANII DIAMOND UYU HAPA,

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, April 8, 2014 | 8:18 AM





DIAMOND AKIZUNGUMZIA TUKIO LA SHOW YA QUEEN DARLEEN NA SHABIKI WAKE.

Usiku uliopita umekuwa ni usiku wa furaha kwangu,baada
 ya dada angu kuzindua video yake ya WANATETEMEKA
 kwa,mafanikio makubwa..lakin tukio la huyu kijana 
aliyeangua kilio  akishinikiza anione
 na kupiga picha,ni tukio ambalo limenionesha ni kiasi gani nina
 watu out there walio upande wangu,watu
 wanaonipenda kwa dhat kabisa.
nikiwa backstage
 kulikokuwa kumejaa kidogo,alijitokeza kijana huyu
ambae
bahat mbaya sikuweza kumwona mapema..
mpaka niliposkia akilia,alikuwa akishinikiza
 apewe nafasi ya kuniona na kupiga picha,but kulingana
 na utaratibu wa kiusalama mlinzi alimzuia na ndipo 
alipoanza kulia mfululizo..na hata alipopata 
nafasi tukaonana na kupiga picha ni kama nilimwongeza spiidi ya kuendelea kulia
 mpka mda wangu wa kupanda stejini ulipofika..
nilipomaliza show na kurudi garini tayari kwa
 kuondoka alinifata akiwa na ombi lile lile,kupiga
 picha nilishuka nikazungumza nae kisha tukapiga picha na kuagana ....!!
NAWAPENDA SANA MASHABIKI WANGU
 
 
Backstage.furaha iliporudi, baada ya kuonana nae na kupiga picha wote
 
Hakuishia kule,hata nilipomaliza show alinifata
 kwenye gari tena..mda huu nilikuwa nikifabya mahojiano na Clouds TV
 
Nikijaribu kumbembeleza 
 
 Nikimpa mkono,lakini hii haikuwa shida yake,alitaka tupige picha tena 
  
 
Ilinibidi nishuke kabisa kwenye gari ,nikazungumza
 nae na tukapiga picha ndipo akatulia
 
Akielezdea furaha yake na sababu ya kufanya vile
 
CHANZO:Thisisdiamond.com 
 
 
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania