IZO APO CHINI NI BAADHI YA PICHA ZA MECHI YA JANA ALIYOMALIZIKA BAADA YA MABINGWA REAL MADRID YA UISPANIA KUNYOOSHWA KIUNO NA WAPINZANI WAO MOROCIAN YA UJERUMAN KWA KIPIGO CHA BAO 4 KWA 1 AMBAPO NI JABA YAKE NDUGU ZAO BARCELONA NAO KULIZWA CHOZI LA DAMU KWA KIPIGO CHA BAO 4 KWA BAKULI NA WAPINZANI WAO BARYEN...SWALI NI JE MPIRA UMEELEKEZA UPEPO KUELEKEA UJERUMAN NA YAPI MAONO YAKO YA NANI ATAINGIA FAINALI???
JE NI KWELI MPIRA UMEGEUZA UPEPO KUELEKEA UJERUMAN??
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, April 25, 2013 | 6:16 AM
Labels:
SPORTS
No comments:
Post a Comment