Hii leo ikiwa ni tarehe 26 april 2013
Maelufu ya Watanzania Wahudhulia uwanja Wa Uhuru Jijin
Kusherehekea sikukuu ya muungano kati ya Tanganyika na zanzibar na kuunda Taifa la Tanzania ilikuwa siku kama hii Ambapo waasis wa mataifa haya mawili Mw:Julius kambarage Nyerere wa Tanganyika na Alhaj:Aman Abed Karume wa Zanzibar kuchanganya mchanga wa nchi izo mbili na Tanzania Kuzaliwa RASMI..

No comments:
Post a Comment