CHINI NI PICHA ZA VIONGOZ WA PROMOSHEN YA SHINDA MAHELA YA VODACOM WAKICHEZESHA DRAW IYO YA MSHINDI NA WAKIMTANGAZA BW:VALELIAN NICKODEMUS MIAKA 22 MWANAFUNZI WA CHUO CHA UWALIMU MKOAN KIGOMA KAMA MILLIONEA WA VODACOM KATIKA DRAW YA MWISHO ILIYOCHEZESHWA JUMATATU HII..AKIONYESHA FURAHA YAKE VALELIAN ALITOA SHUKURAN ZAKE KWA KAMPUN YA VODACOM NA KUWAHUSIA WATANZANIA KUTOPUUZIA PROMOSHEN ZOZOTE NA KWAMBA WASHIRIKI BILA KUSITA...HONGERA SANA VALELIAN...
Home »
News
» MWANAFUNZI WA CHUO CHA UWALIMU KIGOMA ANYAKUA KITITA CHA MILIONI MIA KWENYE PROMOSHENI YA SHINDA MAHELA YA VODACOM
No comments:
Post a Comment