Habari Mpya :
Home » » MAAZIMISHOO YA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIA MAY MOSI/TANZANIA RAIS JAKAYA MRISHOO KIKWETE AONGOZA SHEREHE IZO MBEYA

MAAZIMISHOO YA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIA MAY MOSI/TANZANIA RAIS JAKAYA MRISHOO KIKWETE AONGOZA SHEREHE IZO MBEYA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, May 2, 2013 | 7:34 AM

 

8E9U2311Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akishirikiana na viongozi wengine kuimba wimbo wa Solidarity Forever wakati wa maadhimisho ya Sikuukuu ya Wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa mkoani Mbeya.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TUCTA Nicolaus Mgaya, Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mhe.Gaudensia Kabaka, Kaimu Rais wa TUCTA Bibi Nortubunga Maskini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Mh.Abdulrahman Kinana.

8E9U2015Baadhi ya wafanyakazi wakishiriki katika maandamano  yaliyofanyika wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi  katika Uwanja wa michezo  wa Sokoine mjini Mbeya(picha na Freddy Maro
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania