Habari Mpya :
Home » » AFRICA:ZIARA YA RAIS BARAKA OBAMA AFRIKA NI SALAM KWA MATAIFA YOTE YA AFRICA

AFRICA:ZIARA YA RAIS BARAKA OBAMA AFRIKA NI SALAM KWA MATAIFA YOTE YA AFRICA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, May 22, 2013 | 1:05 AM

Toka marekani Rais Baraka Obama amejiandaa kuanza ziara yake Afrika ambapo nchi zitakazopata bahati ya ujio huo ni pamoja na Afrika ya kusina,Senegal na Tanzania.Imeripotiwa kwamba dhamira kubwa ya ziara iyoo ni kwamba Rais Obama anataka kutengeneza mausiano imara kati ya Taifa ilo kubwa Dunian na izo nchi tatu za Africa.
Kwa upande wa tanzania ziara ya Obama inategemewa kuleta mabadiliko katika sector ya uwekezaji na nyanda zingine za ukuaji wa uchumi.Toka kenya imeripotiwa kwamba Taifa ilo halijasikitishwa na ukweli kwamba Obama hatoweza zuru Nchini umo...Karibu Africa Obama
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania