Zikiwa zimebaki siku chache Dunia kuadhimisha siku ya fistura dunian kutoka Viwanja vya Nyerere square mjini dodoma,msanii nguri wa miondoko ya hiphop ambaye pia ni balozi wa chapa ya kampuni ya simu za mkonon Vodacom amewataka wanaume kubadilisha mtazamo wao juu ya fistura.Akizungumza amesema kama mwanaume ni unatakiwa kuwa mstari wa mbele kusimama kama mwanaume dhidi ya Vita na ugonjwa Fistura.Kampeni iyo inayodhaminiwa na kupewa nguvu na kampuni ya simu ya Vodacom na Vodafone inazunguka mikoa ya Tanzanzania ikiwa na kauli mbiu(TANZANIA BILA FISTURA INAWEZEKANA)..
Home »
» TANZANIA:BALOZI WA VODACOM CHAPA MSANII MWANAFA AMEWATAKA WANAUME KUBADILI MTAZAMO WAO JUU YA FISTURA
No comments:
Post a Comment