Makahama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru... .
Home »
» BREAKING NEWS HUKUMU YA SHEKHE PONDA:PONDA AFUNGWA MWAKA MMOJA NJE WENZAKE WAACHIWA HURU..
No comments:
Post a Comment