JANGA LINGINE LA BOMU KUTOKEA TANZANIA BAADA LILE LA MBAGARA NA KAMBI YA JESHI.ILIKUWA NI SIKU YA JUMAPILI TAREHE 5/05/13 WAUMIN WAKIWA KATIKA IBADA YA KULIFUNGUA KANISA ILO ARUSHA NDIPO TUKIO ILO LA KISIKITISHA LILIPOTOKEA.PICHA CHINI NI BOMU LENYEWE WAUMIN NA MAJERUHI AMBAPO YASEMEKANA PIA LIMEUA WAUMIN BAADHI...POLE KWA FAMILIA ZILIZOKUMBWA NA JANGA ILO..
Home »
» PICHA ZA KANISA LILILOATHILIWA NA BOMU ARUSHA TANZANIA
No comments:
Post a Comment