Habari Mpya :
Home » » TANZANIA:RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA KIRIMO BARANI AFRIKA

TANZANIA:RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA KIRIMO BARANI AFRIKA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, May 15, 2013 | 8:03 AM

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa kuzungumzia Mustakabali wa maendeleo ya Wakulima Barani Afrika uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam leo.mkutano huo umeandaliwa na asasi ya(The southern African Confederation of Agriculktural Unions(SACAU).Wapili kushoto ni Kaimu Rais wa SACAU Bwana Ishmael Sunga na Watatu kushoto ni Waziri wa Kilimo Christopher Chiza.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria Mkutano utakaojadili Mustakabali wa Maendeleo ya Wakulima Barani Afrika uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam ambao umendaliwa na asasi ya SACAU(The Southern African Confederation of Agricultural Unions).(picha na Freddy Maro).
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania