Hii ni semina inayohusu Fursa katika ukumbi wa African Dream Dodoma jana katika msimumpya wa CloudsFm #Twenzetu.Hapa watu waliweza kumjua Mtanzania Billlionaire aliyetumiafursa yake katika maisha yake kuanzia akifanya Biashara ya Vocha mpaka leo hii ni mfanya biashara maarufu Afrika na kijana Mdogo kati ya Matajili wadogo Afriaka anayeuza vifaa vya ememe wa Solar.
Jukwaa la uwanja wa jamuhuri ambapo ndo maandamano ya upingaji wa wizi za kazi za wasanii mkoan Dodoma yalipoanzia kuelekea Nyerere Square ambapo yanaenda kupokelewa na Wazir Mkuu Mh:Peter Mizengo Pinda.
Watu wengi sana katika viwanja vya Nyerere Square wakiamsubili Waziri Mkuu Mizengo Pinda ili aweze kubariki uzinduzi wa shughuli nzima ya Msimumpya wa cloudsFm#Twenzetu...
TUMAIN KUBWA LA WASANII BAADAA YA HATUA HII MAFANIKIO YATAPATIKANA.
No comments:
Post a Comment