Habari Mpya :
Home » » KILLIMANJARO MUSIC AWARD YAPAMBA MOTO TANZANIA PIGIA VDEO BORA YA MWAKA

KILLIMANJARO MUSIC AWARD YAPAMBA MOTO TANZANIA PIGIA VDEO BORA YA MWAKA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, May 11, 2013 | 2:41 AM

Ipigie kura video bora ya Mwaka kwa SMS kwa kutuma code yake kwenda 15345, Email code yake kwenda KTMA2013@innovexdc.com au piga kura katika tovuti yetu ambayo ni www.kilitime.co.tz/vote. Kumbuka, kura haipigwi kwa kuandika comment au kuwe...ka "like" bali kwa kutuma codes husika katika namba na email tajwa hapo zifuatazo:

Baadae - Ommy Dimpoz - AP2
Kamili Gado - Profesa J - AP2
Marry Me - Rich Mavoko - AP3
Nichum - Bob Junior - AP4
Party Zone - AY - AP5
See More
  •  
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania