Taarifa kutoka katika kurasa mbali za Blog nyingi zimetoa tamko kwamba hawa producers wakali toka Nigeria ndo maproducer Bora katika TOP 5 kwa sasa na ni kwasababu wao ndo wameufanya muziki wa nigeria kuwa apo ulipofikia.Mmoja wa maproducers ambae katika picha yupo na D'banji uyo ndo producers wa sasa wa D'banji na kikubwa zaid ameisha sign mkataba wa D'banji Record label..wa kwanza ni OJB JEZREED,Cobhams,Don Jazzy na K-solo...
Home »
» NIGERIA:TOP 5 MUSIC PRODUCERS NIGERIA
No comments:
Post a Comment