Hii ni taarifa mbaya kutokea tena Tanzania baada ya zilizopita kuwapoteza wanamuziki wa kizazi kipya na vipenzi vya wengi .Imeripotiwa kama leo kwamba msanii mahili wa hiphop Tanzania albert mangwea aka mimi amefariki dunia akiwa usingizini baada ya kulala toka jana.Taarifa iyo imeripotiwa na Rafiki yake aliyejuwa nae Uko Nchini Southafrika kwamba tangu jana msanii uyo alipolala hakuamka mpaka alipogundulika kwamba ameishafariki..
**RIP NGWEA**
Home »
» MKALI WA HIPHOP/FRISTYLE MANGWEA AFARIKI DUNIA
No comments:
Post a Comment