Habari Mpya :
Home » » TANZANIA:KILI MUSIC AWARD PIGIA KURA WIMBO WAKO WA TAARAB

TANZANIA:KILI MUSIC AWARD PIGIA KURA WIMBO WAKO WA TAARAB

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Wednesday, May 15, 2013 | 8:54 AM

 
Upigie kura wimbo bora wa Taarab kwa SMS kwa kutuma code yake kwenda 15345, Email code yake kwenda KTMA2013@innovexdc.com au piga kura katika tovuti yetu ambayo ni www.kilitime.co.tz/vote. Kumbuka, kura haipigwi kwa kuandika comment au kuwe...ka "like" bali kwa kutuma codes husika katika namba na email tajwa hapo zifuatazo:

BX1: Mjini Chuo Kikuu - Khadija Kopa
BX2: Mpenzi Chocolate - Jahazi (Mzee Yusuf)
BX3: Si Bure Una Mapungufu - Isha Mashauzi
BX4: Sina Muda huo - Jahazu (Leila Rashid)
BX5: Siwasujudii Viwavi Jeshi - Isha Mashauzi
See More
 
 
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania