Habari Mpya :
Home » » CHAMILEONE AZURU KABURI LA BRUCE LEE

CHAMILEONE AZURU KABURI LA BRUCE LEE

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, June 8, 2013 | 12:16 AM

Ni mwezi mmoja umepita mkali toka uganda Dr jose Chamelione ambaye ni miongoni mwa wanamziki matajiri Afrika alifanya ziara yake ya mwezi mmoja nchini marekani ambapo ziara yake iyo aliipa jija la 'Badilisha Tour'..Katika ziara iyo jose chameleone alipata bahati kubwa ya kutembelea Kaburi la aliyekuwa mkali wa Kunfu dunia hayati Bruce Lee lililoko nchini marekani na ambalo pia liko karibu na kaburi la mwanae Brandon Lee..
Jose aliamua kuipa Tour iyo jina la Badilisha likiwa ni jina la Hit song katika Album yake mpya...
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania