Hatimae safari ya maisha ya miaka 31 ya uhai wa msanii albert mangwea imeishia hapa..baada ya mwili wako kusafirishwa toka AFRIKA YA KUSINI na kupokelewa na umati mkubwa wa watu Tanzania hatimae leo Tarehe 06/06/2013 mpendwa wetu na mkali wa freestyle albert mangwea aka cowbama aka cowweezy aka mimi aka mnyamaaa kalazwa katika nyumba yake ya milele...
**we will always miss u REST IN
PEACE ALBERT MANGWEA**
**we will always miss u REST IN
PEACE ALBERT MANGWEA**
No comments:
Post a Comment