Grandpa family ni jina linalotengenezwa na mkusanyiko wa wasanii wengi ambao wote wako chini ya music lable ya Grandpa record nchini kenya ikimilikiwa na Refidah.Grandpa Family inajengwa na wasanii kama DNA,Pizzo,Dogo,TL shamir na wengine kibao.Kundi hili ndani ya kipindi kifupi limepata umaarufu mkubwa hasa kwa midundo yake mikali toka Grandpa record na vibao vyake vikali kama 'Fimbo ya pili'na zingine kama 'Maswali ya polisi'na nyimbo nyongine kibao toka Grandpa record.
IJUE FAMILIA YA GRANDPA KATIKA MUZIKI WA KENYA NA EASTAFRICA
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, June 17, 2013 | 12:49 AM
Labels:
Fashion
No comments:
Post a Comment