Habari Mpya :
Home » , , » BOMU ARUSHA LA UA WATATU

BOMU ARUSHA LA UA WATATU

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, June 15, 2013 | 2:51 PM

Hili nitukio lingine baya na la kusikitisha sanaa baada ya lile la kanisa kulipuliwa mkoan Arusha n kusababisha vifo vya watu wengi na majeruhi wengi sana.Report iliyotufikia kutoka kwa reporter wetu toka arusha CLASSIC SON ni kwamba leo kulikuwa na mikutano miwili ya vyama pinzani kati ya Chadema na Ccm.Ilipofika jion Ccm walikuwa na watuuu wachache sana ambapo chadema walionekana kupata watu wengi sana kikichofanya mashabiki wa Ccm kujumuika katika mkitano huo ambao inasemakana muda ulikuwa umekwisha ila chadema waliendelea na mkutano ndipo gafla Bomu lilipolipuka na pia yasemekana kwamba kuna kada wa ccm alitoa bunduki na pia naicka kishoot ovyoooo..

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania