Hii ni habari njema kwa waumini wote wa dini ya kiisalam Tanzania kwamba leo Masjid Istiqama unafunguliwa rasmi mkoan singida.Taarifa za awali zilisema mgeni Rasmi alitegemewa kuwa Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassani Mwinyi ila imesemekana kwamba atoweza itikia mualiko huo baada ya kuwa mgonjwa.Masjid Istiqama ndo msikiti wa kwanza kwa ukubwa na mzuri mkoani singida..
No comments:
Post a Comment