Huyu ndo Frasha mkali wa miondoko ya Hiphop nchini kenya akiwakilisha kundi la Punity.Frasha apo awali aliweza kujenga hisia za watu kwamba yawezekana akawa kipofu wa jicho moja kwa ile style yake ya kuziba sura yake kwa kofia na miwani lakini ameamua kujianika leo hii na Familia yake na kwamba yeye sio kipofu bali ile ndo style yake katika ulimwebgu wa Muziki..
Home »
Fashion
» FRASHA MSANII WA KUNDI LA PUNITY KENYA AMBAYE UFUNIKA SURA YAKE KWA MIWAN NA KOFIA AKIWA NA FAMILIA YAKE
FRASHA MSANII WA KUNDI LA PUNITY KENYA AMBAYE UFUNIKA SURA YAKE KWA MIWAN NA KOFIA AKIWA NA FAMILIA YAKE
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Saturday, June 15, 2013 | 9:04 AM
Labels:
Fashion
No comments:
Post a Comment