Philly Bongeley Lutaaya amezaliwa 19/10/1951 nchini Uganda.Alikuwa ni mwanamziki mkubwa uganda na Afrika kwa ujumla,philly lutaaya ni mtu wa kwanza uganda kujitangaza ameathilika na HIV/AIDS.Kabla ya kifo chake mnano 15/12/1989 philly lutaaya alihakikisha anatunga nyimbo zilizo husu mapambano yake dhidi ya adui HIV/AIDS pia aliweza kutembelea makanisa na shule mbalimbali uganda kuwapa ujumbe juu ya kujikinga na matumain..Philly lutaaya alitamba sana miaka ya 1960 ambapo alitoa kibao cha 'BORN IN AFRICA'kilichotamba sana miaka iyo na pia amewahi fanya ziara zake Congo,kenya na sweden.Mwanamuziki Ambae ni mchanganyiko wa Nigeria na mswiden Dr Alban alisema Philly was 'one among the greatest africa musician'.Baada ya kifo chako mwaka 1989 taasis yake iliendeleza kazi zake na kwa kushirikiana na Shirika na UNISEF
na taasis zingine pamoja walimu wa vyuo waliweza kuwafanya mamia waliothirika na HIV/AIDS kujitokeza..Nchin uganda tarehe 19 october ni PHILLY LUTAAYA DAY
na taasis zingine pamoja walimu wa vyuo waliweza kuwafanya mamia waliothirika na HIV/AIDS kujitokeza..Nchin uganda tarehe 19 october ni PHILLY LUTAAYA DAY
No comments:
Post a Comment