Habari Mpya :
Home » , , » SIKU YA NNE NELSON MANDELA HOI MEDICLINIC HOSPITAL YA MOYO

SIKU YA NNE NELSON MANDELA HOI MEDICLINIC HOSPITAL YA MOYO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, June 11, 2013 | 9:20 AM

Taarifa kutoka kwa msemaji mkuu wa serikali ya Southafrika amesema kwamba Rais wa zamabi wa Sauthafrika bwana Nelson Mandela bado hali yake sio nzuri na bado yuko chumba cha wagonjwa mahututii(intensive care).Jana familia yake akiwemo mke wake wa zamani Winnie Mandela pamoja na watoto wake wawili wa kike walienda kumtazama baba yao.Taarifa zingine ni kwamba police wamejazwa eneo ilo na kwamba hakuna gari yoyote inayoruhilusiwa kuingia Hospitalin hapo bila ruhusa na sababu ya msingi.Watu mbalimbali wanazidi kumuombea Nelson Mandela aweze kupata nafuu maana imeelezwa kwamba kwa sasa anasumbuliwa na infection kwenye mapafu..Picha chini ni Wakati nelson mandela anatoka Gerezani mwaka 1990,polise wasio na uniform wakiwa wameziba gate la kuingia mediclinic heart hospital uko Pretoria,Rais jacob Zuma akiwa na umatiwingine siku Nelson alipotoka Hospital na mwisho ni watoto wake wawili...Nelson Mandela mpaka sasa anamiaka 94.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania