Home »
Events
,
Fashion
,
Music
,
News
» (BURUDANI)KWA MALA YA KWANZA OMMY DIMPOZ KUKINUKISHA MUSCAT OMAN
(BURUDANI)KWA MALA YA KWANZA OMMY DIMPOZ KUKINUKISHA MUSCAT OMAN
Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Friday, March 21, 2014 | 11:11 PM
Ni msanii ommy dimpoz toka tanzania mnamo tarehe 28 march anatarajiwa kutumbuiza mjini muscat nchini Oman. Wakazi wa Oman kaeni mkao wa kula Ommay dimpoz akiwa na PKP band dancers watakinukisha Muscat.
No comments:
Post a Comment