Ni msanii Hashimu meneja wa band ya taarabu ya mashauzi classic pamoja na bibie Fatuma Fundikira ambao wameamua kuungana na kuwa kitu kimoja ni baada ya msanii Hashimu kuachana na mkewe Diana. Hapa ni picha za wanandoa hao wakiwa katika pozi tofauti.
No comments:
Post a Comment