Ni wanandoa wa muda mrefu Robbin mwanamziki na mkewe Paula ambao majuma yaliyopita mwanamama uyo aliamua kutengana na mumewe Robbin kwa tuhuma za kwamba Robbin amekuwa hana heshima na ndoa yake hasa anapokuwa mbali na mkewe paula na sababu iyo ilijitojitokeza wakati Robbin alipokwenda ufaransa kwa ziara yake na kujikuta akinaswa na mitandao mbalimbali wakati akifanya starehe na mabinti wadogo jijin apo.Story izo zilimfikia mkewe Paula na uwamuzi aliouchukua Paula ni kuachana nae.Mbali na kuachana wanandoa hao wamekuwa karibu sana kama marafiki kiasi kwamba kila mtu amekuwa akiwasiliana na mwenzie karibia muda wote.Apa karibuni Robbin aliamua kufanya maamuzi ya kupigania ndoa yake irudi kamazamani.Taarifa tulizozipata kupitia mtandao wa TMZ ni kwamba Paula ameamua kumpa mumewe nafasi nyingine kurekebisha matatizo yake na kuweka ndoa yake sawa, pia alikuwa na maamuzi ya kuomba taraka na tayari alishataka kuweka wakili kwa ajili ya kufatilia swala ilo la taraka lakini taarifa izo zinasema ameaghaili harakati izo na kuamua kurudiana na mumewe Robbin.







No comments:
Post a Comment