Habari Mpya :
Home » , , » ABBA KUNDI LA MUZIKI TOKA SWIDEN LILILOPATA UMAARUFU MIAKA 40 ILIYOPITA LAKINI BADO MAARUFU MPAKA LEO

ABBA KUNDI LA MUZIKI TOKA SWIDEN LILILOPATA UMAARUFU MIAKA 40 ILIYOPITA LAKINI BADO MAARUFU MPAKA LEO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, April 15, 2014 | 9:19 AM



(AP)
Abba ni moja kati ya makundi ya muziki lilijipatia umaarufu miaka 40 iliyopita lakin mpaka sasa kundi ilo bado linafanya vizuri katika mauzo ya vibao vyake.Abba ni kundi linaloundwa wasanii toka swiden na lenye makazi swiden.Limeuliza swali la kwamba kwa nini kundi hili lilikokamata dunia mika 40 ila mpaka leo bado ni kkundi bora na lenye mafanikio makubwa, jibu likapatikana kwamba hakuna msanii yeyote duniani amewahi uza mauzo makubwa katika vibao vyake kama ambavyo kundi hili la Abba limewahi,ni kundi pekee ambalo toka miaka 40 iliyopita ila mpaka sasa bado linauza vibao vyake na kupendwa zaid dunian kuliko kundi lolote lile na iyo ndo sababu ya kuw kundi bora na lenye mafanikio siku zote.


Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania