Habari Mpya :
Home » , » PICHA OSCAR PISTORIUS NA MPENZI WAKE STEENKAMP ENZI ZAO MIEZI MITATU KABLA YA PISTORIUS KUMPIGA RISASI

PICHA OSCAR PISTORIUS NA MPENZI WAKE STEENKAMP ENZI ZAO MIEZI MITATU KABLA YA PISTORIUS KUMPIGA RISASI

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, April 15, 2014 | 8:58 AM


A picture taken on 26 January 26 2013 shows Olympian sprinter Oscar Pistorius posing next to his girlfriend Reeva Steenkamp at Melrose Arch in Johannesburg
                                 OSCAR PISTORIUS AKIWA NA STEENKAMP ENZI ZA MAPENZI YAO

Hii ni picha ya wawili hao waliodumu katika mapenzi kwa muda wa miezi mitatu kabla ya Oscar Pistorius
ambae kwa sasa anashtakiwa kwa makosa mawili tofauti moja la kumpiga risasi mpenzi wake SteenKamp
lakini pia kosa la pili kumiliki silaha kinyume na sheria.Kesi mabayo mbaka sasa inaendeshwa kutafuta ushahidi wa kujisholeza ili kuweza kuweka Oscar katika hatia.SteenKamp alipigwa risasi asubuhi ya siku ya wapendanao yani (Valentiones Day)akiwa choon ambapo risasi zilitoboa mlango wa choo na kummaliza Steenkamp siku ambayo imeelezwa wapenzi hao hawakuwa pamoja.Ushahidi wa picha za matukio umewakilishwa mahakamiani leo lakini Pistorius ameendelea kukaataa kwamba hakuuwa kwa dhamilia.

The door through which Reeva Steenkamp was shot is displayed during Oscar Pistorius' murder trial in Pretoria. 14 April 2014.
                                               Mlango wa choo ambapo risasi zilipita


Screen grab of the Valentine's Day card Reeva Steenkamp had written for Oscar Pistorius
                                   CARD YA VALENTINES DAY 

Steenkamp aliuwawa kwa kupigwa risasi mwanzo wa siku ya valentines day 2013 kwa ushahidi wa kadi za
valentine ni kwamba hakuna kati yao aliyepata nafasi ya kufungua card aliyekuwa kapewa na mpenzi wake.
Kwa mujibu wa hakimu amesema mashtaka yalitakiwa kusomwa jumatano ila amehairisha mpaka tarehe 16 may.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania