Habari Mpya :
Home » , , » (MATUKIO)KARUME DAY KUDUMISHA MUUNGANO

(MATUKIO)KARUME DAY KUDUMISHA MUUNGANO

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, April 7, 2014 | 10:03 AM

Leo ikiwa ni tarehe 7 ya mwezi wa Nne mwaka 2014 watanzania wameungana tena kuomboleza siku aliyoaga dunia muhasisi wa taifa la zanzibar na tanzania hayati Abed Karume amabe alifariki mnamo mwaka 1972 akiwa makamu wa rais wa kwanza wa tanzania na rais wa kwanza wa zanzibar.Tukio hili limekuja wakati ambao muungano kati ya tanganyika na zanzibar ukiwa katika kitimoto ambapo tukio hili kwa imani ya wengi litasaidia muungano kuzidi kudumu baada ya nchi zote mbili kuitikia wito wa siku ya leo yani karume day kama siku ya mapumziko.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania