Leo majira ya saa nane za mchana maeneo ya ihumwa barabara kuu toka dodoma kuelekea mkoan morogoro gari lilikuwa limebeba mchanga aina ya lori limepinduka pembezon mwa barabara na kusabababisha majeruhi wawili dereva na msaidizi wake ambao wamewaishwa hospital kwa matibu.Picha za tukio zima na Samson<>.
No comments:
Post a Comment