Habari Mpya :
Home » , , » NGURI WA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI NA KATI MZEE NGURUMO AFARIKI DUNIA JANA

NGURI WA MUZIKI AFRIKA MASHARIKI NA KATI MZEE NGURUMO AFARIKI DUNIA JANA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Monday, April 14, 2014 | 9:05 AM

Msanii nguri katika tasnia ya muziki afrika mashariki na Kati mzee Ngurumo amefariki dunia jana katika hospital ya Taifa ya Muhimbili ambapo alikuwa kalazwa akiwa anasumbuliwa na maradhi.Mzee ngurumo ni mmoja kati ya wanamuziki wakongwe na waliodumu na band moja ya muziki kwa miaka mingi (Msondo Ngoma)

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania