Habari Mpya :
Home » , » UYU NDO BINTI MWENYE MIAKA 13 ANAYEWINDA KWA KUTUMIA EAGLE UKO WESTERN MONGOLIA

UYU NDO BINTI MWENYE MIAKA 13 ANAYEWINDA KWA KUTUMIA EAGLE UKO WESTERN MONGOLIA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, April 15, 2014 | 8:30 AM

Ashol-Pan at school and a portrait image of her.
Ashol-Pan on a mountain cliff edge with her eagle
Ashol-Pan training her eagle
Ashol-Pan on a mountain top with her eagle
Ashol-Pan on a mountain cliff edge with her eagle

 NI BINTI MWENYE MIAKA 13 MKAZI WA MONGOLIA AMBAE AMEONEKANA AKIWA KATIKA MAWINDO MLIMANI WAKATI WA BARIDI UKU AKIWA KABEBA EAGLE MKUBWA ASIYEPUNGUA KILO SABA.JAMII YA KUZAKHS KATIKA SAFU YA MILIMA ALTAI NDO JAMII PEKEE DUNIAN INAYOTUMIA EAGLE KATIKA UWINDAJI MBALIMBALI.IMEELEZWA KWAMBA WATOTO WENGI WANAOGOPA KUMBEBA EAGLE KITENDO AMBACHO KIMEONEKANA AJABU KWA BINTI UYU Asher SvidenskyKUONEKANA AKIWA NA EAGLE BILA WASIWASI.MBALI NA WOTOTO KUOGOPA WATOTO WA KIUME PIA WAMEONEKANA WAKIANZA MAZOEZ YA KUWINDA KWA KUMTUMIA GOLDEN EAGLE.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania