Habari Mpya :
Home » , » TONY BLIAR,THABO MBEKI NA BAN KI MOON WAUDHULIA MIAKA 20 YA MAADHIMISHO YA MAUAJI YA HALAIKI JANA RWANDA

TONY BLIAR,THABO MBEKI NA BAN KI MOON WAUDHULIA MIAKA 20 YA MAADHIMISHO YA MAUAJI YA HALAIKI JANA RWANDA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Tuesday, April 8, 2014 | 8:39 AM


 
 katika picha ni Katibu mkuu wa umoja wa mataifa mzee  ban ki moon akiwasha mwenge akiwa pamoja na mwenyeji wake rais wa rwanda kagame jana wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 20 ya mauaji ya halaika yaliyofanyika mnamo mwaka 1994,pamoja nae pia alikuwepo waziri mkuu wa zamani wa uingereza bw tony bliar na rais wa mstaafu wa afrika ya kusini mzee thabo mbeki.katika picha ni waigizaji wakionyesha namna famila za watusi zilivyokuwa zimeangamizwa na wenzeo ndugu zao wagutu na hapo ni katika uwanja ambapo umoja wa mataifa uliweza kuziokoa baadhi ya familia za kitusi.
Katika maadhimisho ayo kwa wananchi wengi ilikuwa ni kilio kikubwa haswa wakikumbuka ndugu zao waliopoteza maisha katika mauwaji hayo mwaka 1994 ambapo baadhi ya wanachi walizimia na wengine kupewa msaada na walinzi.

Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania