Habari Mpya :
Home » , » (ONE CAMPAIGN) 19 AFRICA ARTIST ONE VOICE TO SUPPORT AGRICULTURE(COCOA NA CHOCOLATE)

(ONE CAMPAIGN) 19 AFRICA ARTIST ONE VOICE TO SUPPORT AGRICULTURE(COCOA NA CHOCOLATE)

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Thursday, April 10, 2014 | 2:49 AM


 
  
One ni muungo wa wasanii 19 toka barani 
Africa ambao kwa pamoja wameungana kutoa changamoto kwa vijana wote afrika kujihusisha na kilimo cha cocoa na chocolate.video ya one go to agric inapatika hapa One.org na audio yake ambazo zote zilitengenezwa nchini afrika ya kusin.
Wasanii walioshiriki katika katika kampeni iyo ni pamoja na wasanii toka tanzania diamond platnums na ay wengine ni d’banji toka nigeria na wengine toka kenya uganda na afrika ya kusin.dhumun kubwa zaid ni kuwaamsha viongozi wa afrika katika kukipa kilimo cha za cocoa na chocolate kipaumbele na kunyanyua maisha ya wakulima wachanga katika bara la afrika.kujiunga na harakati izo pitia katika website yao ya One.org kuweza kuungana mkono kuendeleza kilimo cha cocoa na chocolate baran afrika.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania