Habari Mpya :
Home » , , » 'SAFARI YA MATUMAINI'LOWASA ATANGAZA NIA RASMI YA KUGOMBEA URAIS JANA ARUSHA

'SAFARI YA MATUMAINI'LOWASA ATANGAZA NIA RASMI YA KUGOMBEA URAIS JANA ARUSHA

Imeandikwa na Shamsi Mohamed on Sunday, May 31, 2015 | 2:09 AM

Waziri mkuu wa zamani mh:Edward Lowasa jana majira ya mchana ametanganga nia yake Rasmi ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi utakao fanyika nchin Tanzania mnamo mwezi wa kumi mwaka huu 2015.Akiwa na dhamira iyo kubwa Lowasa alipokewa na kundi kubwa la watu jana katika kiwanja cha mpira mkoan Arusha,wakiwemo wanachama wenzake wa CCM na wale wa vyama tofauti pamoja na wananchi wa kawaida au wapiga kura.Akiwa na kauri mbiu ya SAFARI YA MATUMAINI Mh edward lowasa aliwezaa kutoa dhamira zake mbalimbali uku akiombaa kura toka kwa wananchi.Moja kati ya dhamira zake ni pamoja na kudhamiria kumaliza wimbi la umaskin pamoja na kuboresha Elimu.

       LOWASA AKITANGAZA NIA YAKE KWA               WANANCHI WA ARUSHA.

LOWASA AKIWAAGA WANANCHI
BAADA YA KUTANGAZA NIA.
Share story hii kwa marafiki :

No comments:

Post a Comment

 
FOR WEB AND BLOG DESIGNERS : Call 0658184797
Copyright © 2011. AFRICA STEP - All Rights Reserved
Template Modify by Eddie Sucre
Proudly powered by Teknohama Tanzania