MICHUANO KWA NGAZI YA MIKOA NA VITONGOJI IMEANZA KWA AJILI YA KUMTAFUTA MISS TANZANIA MREMBO ATAKAYEIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MASHINDANO YA MISS WORLD.SHINDANO ILO KWA SASA LINADHAMINIWA NA KAMPUNI YA REDs TANZANIA.PICHA NI MABINTI WAKIWA KATIKA SHINDANO LA KUMSAKA MISS SINGIDA.
No comments:
Post a Comment